Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

nashukuru sana mkuu. Iyo hand sprayer ndo tunaipata maduka yanayouza nini? Usishangae kukuuliza nipo kijijini. Mungu akubariki kwa msaada wako!

Huko huko kwenye duka la madawa ya kilimo ukiulizia watakuonyesha kama hawana watakuelekeza pia ni kopo fulani la 1litre au 1litre na nusu, hivi ukienda saloon ukimaliza kunyoa kuna maji fulani huwa tunapuliziwa ya povu povu sasa lile kopo ndo mfanowe na ukilikosa kabsa nenda saloon yoyote waambie wakuuzie lililotumiaka pia ukikosa hata saloon basi weka maji 1litre kwenye ya maji safi uhai/kmanjaro weka dawa kizibo ki1 au zaidi kama unataka wafe huku unawaona! Af toboa kwenye kizibo unakuwa ukamua kama unabinya kama tomato sorce kwa chips!

Kibirizi nimekupata mkuu ila ni vizur hii dawa akaifanyia kaz asubuh ili kufika wakati wa kulala harufu isimkere ndani maaana ni kali mno ila zingatia mashuka yakigusana na ngozi huwa inawasha na itakuwa vzur kama utapata mipira ya kuvaa mikonon!! Na
 
Last edited by a moderator:
huko huko kwenye duka la madawa ya kilimo ukiulizia watakuonyesha kama hawana watakuelekeza pia ni kopo fulani la 1litre au 1litre na nusu, hivi ukienda saloon ukimaliza kunyoa kuna maji fulani huwa tunapuliziwa ya povu povu sasa lile kopo ndo mfanowe na ukilikosa kabsa nenda saloon yoyote waambie wakuuzie lililotumiaka pia ukikosa hata saloon basi weka maji 1litre kwenye ya maji safi uhai/kmanjaro weka dawa kizibo ki1 au zaidi kama unataka wafe huku unawaona! Af toboa kwenye kizibo unakuwa ukamua kama unabinya kama tomato sorce kwa chips!

Kibirizi nimekupata mkuu ila ni vizur hii dawa akaifanyia kaz asubuh ili kufika wakati wa kulala harufu isimkere ndani maaana ni kali mno ila zingatia mashuka yakigusana na ngozi huwa inawasha na itakuwa vzur kama utapata mipira ya kuvaa mikonon!! Na

Shukrani!
 
Last edited by a moderator:
Aisee huyo gody amemariza kazi, hiyo dawa ni balaa ila kuwa makini kama kuna watoto wasije fikiri maziwa wakanywa. Hii dawa huwa pia wanaogeshea mifugo ie ng'ombe, mbwa nk kimsingi hakuna mdudu yoyote anayeweza kuleta jeuri ie papasi, utitiri, chawa, kunguni, mende, ng'e, mchwa, chura, buibui, mbu, tandu,panya, mjusi, sisimizi,siafu,chungu, nyigu, dondora, sungusungu, viroboto, kupe, sangara nk vile matokeo ya hii dawa ni haraka sana yaani kama kunguni ndio mwepesi sana ukipuliza tu hapingi hata hatua miguu juu,
Cha msingi chukua ngua zako zote fulia na majinya moto au zichemshe kidogo, kama ni kitanda cha mbao wanapenda kujificha kwenye changa na papi na kwenye maungio hakikisha unapulizia dawa ya kutosha. Vile vile gondoro nalo pulizia kisha anika kwenye jua kali.
Kama upo kijijini nenda kwenye maduka ya kilimo utapata hand sprayer ni bei ndogo tu.
Kama unapurizia dari na kuta rekabisha mkandamizo/pressure iwe inatoka kama mvuke, kama kwenye maungio iwe inatoka kidogo majiji iliniweze kupenya kwenye maungio.

Asante sana!
 
Nilitumia deep kama nilivyoelekezwa na hali ikawa shwari kwa muda, sasa ni majanga! Kunguni wanang'ata hadi natamani kukimbia nyumba
 
Hii Deep ni ya unga unga? kama ni ya ungaunga haifai kutokomeza kunguni, tafuta dawa moja ni ya umajimaji sikumbuki jina lake. Pia kama wapo kitandani, pasha maji ya moto sana na ukimwagie chote na chaga zake, ukifanya hivyo pumzika wiki 1 rudia zoezi watatokomea tu. Mwambie wife ajitahidi pia usafi.

nilitumia deep kama nilivyoelekezwa na hali ikawa shwari kwa muda, sasa ni majanga! Kunguni wanang'ata hadi natamani kukimbia nyumba
 
Hii Deep ni ya unga unga? kama ni ya ungaunga haifai kutokomeza kunguni, tafuta dawa moja ni ya umajimaji sikumbuki jina lake. Pia kama wapo kitandani, pasha maji ya moto sana na ukimwagie chote na chaga zake, ukifanya hivyo pumzika wiki 1 rudia zoezi watatokomea tu. Mwambie wife ajitahidi pia usafi.

iyo deep ni ya maji. Alafu hayo maji ya moto kila baada ya wiki moja! Mbona majanga! Maji yamoto nshatumia ila ndo ivyo tena ndani ya muda mfupi kunguni wanarudi tena.
 
Kama sikosei mkuu wewe upo Dar. We jaribu hilo zoezi nililokushauri utanipa tu majibu ila yawe ya moto kweli kweli na uhakikishe mazingira yote yanapitiwa na ndiyo maana nimesema kila baada ya wiki 1 na ukifanya hivi mara 3 au 4 watakuwa wamepotea kwani huwezi kuwamaliza wote kwa siku moja.

iyo deep ni ya maji. Alafu hayo maji ya moto kila baada ya wiki moja! Mbona majanga! Maji yamoto nshatumia ila ndo ivyo tena ndani ya muda mfupi kunguni wanarudi tena.
 
Uza kila kitu hasa godoro na vitanda na net ununue vingine, kunguni hawaishagi hasa kama unatumia godoro la sponji.

Hapo bakiza vyombo tu, navyo unavitoa nje ndio unaosha ukuta kwa hiyo deep.

poa kaka
 
Uza kila kitu hasa godoro na vitanda na net ununue vingine, kunguni hawaishagi hasa kama unatumia godoro la sponji.

Hapo bakiza vyombo tu, navyo unavitoa nje ndio unaosha ukuta kwa hiyo deep.
huu ushauri sikubaliani nao maana akiuza anahamisha majanga kwa wengine inachotakiwa ni kuchukua kitanda, godoro, mito mashuka, blanketi na foronya kwenda na vitu vyote vya ndani kama TV redio n.k kuvizika kaburini kabisa na kuanza maisha mapya sehemu nyingine mbali na hapo tena hata nguo siku hiyo ya kuhama vaa mpya na nywele na vuzee nyoa maana vinaweza kuhifadhi mayai. Hamia nyumba mpya na unaanza moja kuanzia nguo na vitu vyote
 
Dawa ni kutupa fenicha zote.kwani hawa wadudu wameshataga mayai yao ndani kabisa ya fenicha zako .hata ukipurizia dawa haifiki huko.Ila wale wadudu wakubwa watakufa,kwani wanatembea kuja nje.Ndio maana utapata nafuu kwa muda fulani ,baadae yale mayai yaliyojificha yatatotoa ,na ndio utaona wanakuja kwa kasi ya ajabu.unajua dawa haiwezi ingia yote kwenye joints za fenicha.au njia nyingine labda ingiza fenicha zako zote kwenye kisima cha dawa.Na zikae huko kwa muda mrefu kidogo.Na hiyo itaharibu fenicha zako pia.hawa wadudu hawataki kabisa harufu ya manukato.unaweza pia kuwafukuza kwa njia hiyo.Lakini watakimbilia kwa jirani na watakuja kwako tena siku hujaweka manikato kwenye hizo fenicha.Mayai yao ni ngumu kuyaangamiza.
 
nashukuru sana mkuu. Iyo hand sprayer ndo tunaipata maduka yanayouza nini? Usishangae kukuuliza nipo kijijini. Mungu akubariki kwa msaada wako!
Pale utakapopata hiyo dawa mara nyingi wanauza hizo chupa za kupulizia au kunyuzia.:A S-fire1:
 
Back
Top Bottom