Naomba msaada wa codes za TCU

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
745
1,000
Wana Jamii naomba msaada,

Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia kwa namba zao hawapokei..

Mwenye msaada au info yoyote, jinsi kufanya, direct contacts ..nitashukuru
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
8,542
2,000
System ya codes ilishawashinda. Wakikua wanawatumia wanafunzi wote wenye multiple selections lakini naona kabisa sahivi zinawashinda.

Cha kufanya awe mvumilivu, watatoa njia nyingine ya kuverify, sana sana watasema Chuo utakacho report ndio iko iko ume verify, otherwise kama upo Dar nenda TCU hapo.
 
Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
2,144
2,000
Kwani code ya kuverify wanatoa TCU au chuo ulichoomba mkuu. Mbona kama umeanza kuchanganya madesa watu hapa. haha
 
sudan iii

Senior Member
Sep 3, 2018
146
250
Wana Jamii naomba msaada,

Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia kwa namba zao hawapokei..

Mwenye msaada au info yoyote, jinsi kufanya, direct contacts ..nitashukuru
Aende kwenye vyuo alivyochaguliw a request confirmation code ila akipew aingize kweny chuo anachopenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom