Naomba msaada wa changamoto za kiafya ninazozipitia

pima hivi vitu
Iron deficiency anemia ni anemia ambapo damu hukosa red blod cells zenye afya na hupelekea mzunguko wa damu kuwa hafifu kwenye mwili.
Congestive heart failure. Ambapo chemba za moyo za chini zina feli kupump damu vizuri na kufanya damu kuganda kwenye sehemu za mguu na pia huweza sababisha maji kujaa kwenye mapafu na kusababisha kupumua kwa shida.

liver Cirrhosis.
hii ni tatizo la figo

Kidney disease and damage. huwa ni pale fluids and sodium kwenye circulation huwa sio nzuri. pia hupungufu wa protein kwenye damu hupelekea damage ya mishipa ya damu na husabisha maumivu. .

Inadequate lymphatic system. hii ni system husaidia katika kusafisha maji yalizidi kwenye tissue inapo kuwa na tatizo labda kutokana na kovu au cancer hupelekea maji kujaa kwenye tissue na huasabisbisha matizo.

I do not but sometime I feel depression, guilt, etc But I am not really happy with this battle . Why me ?. I tried to tell some people including colleague but they didn't coparated me well others they Lough at me saying why so while you are a gentleman ?? Are you pregnancy or menstrual ??. Always I meet with this kind situation . Fruits , exercises, green vegetable I am using .
Focus on your true God,he is your healer,your redeemer and the only one who knows your destiny,He is the only one that can set you free,and not a human being...
 
pima hivi vitu
Iron deficiency anemia ni anemia ambapo damu hukosa red blod cells zenye afya na hupelekea mzunguko wa damu kuwa hafifu kwenye mwili.
Congestive heart failure. Ambapo chemba za moyo za chini zina feli kupump damu vizuri na kufanya damu kuganda kwenye sehemu za mguu na pia huweza sababisha maji kujaa kwenye mapafu na kusababisha kupumua kwa shida.

liver Cirrhosis.
hii ni tatizo la figo

Kidney disease and damage. huwa ni pale fluids and sodium kwenye circulation huwa sio nzuri. pia hupungufu wa protein kwenye damu hupelekea damage ya mishipa ya damu na husabisha maumivu. .

Inadequate lymphatic system. hii ni system husaidia katika kusafisha maji yalizidi kwenye tissue inapo kuwa na tatizo labda kutokana na kovu au cancer hupelekea maji kujaa kwenye tissue na huasabisbisha matizo.

Ahaaa asnte sana mkuu kwa Kanda ya magharibi wapi wanapima au mwanza wanapma hospatal gn ?.. au ni hospital gn?
 
Focus on your true God,he is your healer,your redeemer and the only one who knows your destiny,He is the only one that can set you free,and not a human being...
Absolutely ... I believe in that.. God sent his son to save our lives.. I do hope one day everything will orlaght
 
Nina miaka 26 mwaka 2012 nilianza kuugua kuharisha, kuchoka sana, baridi Kali, miguu kuvimba, uso kuvimba hasa wakat wa asubuhi, mapigo ya moyo kwenda mbio, ngozi kuwa nyeupe . Nilikwenda hospitali nikawa walivyonipima HB nikawa na 2.0g/dl.

Nikapewa BT ,na dawa za minyoo Mambo yakawa shwari lkn mwaka 2014 mambo yakajiyokeza tena nikapimwaHB nikawa na 3g/dl. Nikapewa BT na ferrous . Mambo yakawa shwari lakini mwaka 2017 mamb yakaanza tena lkn nikawahi ktumia ferrous hali ikaisha .

Mpka sasa nikigundua damu kupungua (ambazo naona dalili kama uso kuvimba wakat wa asbh na miguu kuvima ngozi kuwa nyeupe mfano km unajikirimu yan na )natumia ferrous ndo mtindo wa maisha niliyonayo since 2017.Naomba msaada wenu what the diagnosis/problem I battle with?. And what to do?. Na je nipime nini?.
PIMA SICKLE SELL ANEMIA....UGONJWA WA UPUNGUFU WA DAMU.
 
Daaah yaan naogopa sana kama nikpta kansa, figo, ini , spleen, moyo duuuu nimekwishaaa
Kila nachojaribu kuandika nafuta mkuu natamani nikushauri lakini sioni pa kuanzia.

Jaribu kupitia threads zangu pengine utakuwa na la kujifunza.
 
Mkuu bado, nilipma nikaambiwa tatizo lishe. Nmektmia ferrous sn lkn kiwango Cha damu hakizid 8g/dl
Habari
Nafikiri bado kuna nafasi ya kufanya majumuisho vizuri ya kinacho kutokea na hali yako.

Pia, kuna uwezekano wa kuwa na kikomo kwa hivi vituo vyetu vya afya katika kufanya vipimo mbalimbali na hivyo kuishia njiani katika kufatilia matatizo ya wagonjwa.

Kwa mtizamo wangu kutakuwa na kitu kingine ambacho kinasababisha uzalishaji wa damu usiwe kwa kiwango kinachotakiwa au kuna kitu kinaharibu damu iliyokwishatengenezwa kwa kasi zaidi.

Sina uhakika kama ulimpata mtaalamu wa damu haematologist au ulifanya kwa daktari wa kawaida na kwa kiwango cha hospitali uliyofanyia vipimo.

Sina uhakika sana suala la lishe peke yake kuwa ni sababu tosha kwa kile ulichokieleza, labda kama unaishi mazingira magumu kwelikweli.

Lakini pia ni mhimu kujua jinsia yako kwani mambo mengine yanaendana na masuala ya jinsi na uwajibikaji wake.

Yale mengine uliyoyaeleza ni matokeo ya damu kushuka sana:
1: kuvimba miguu/uso
2:kuchoka sana
3: kizunguzungu
4: moyo kwenda mbio
5: ganzi
6: kupauka/kuona unakuwa light colored

Endelea kufanya ufatiliaji kwa taratibu wakati ukiwa imara ili kupata suluhisho ambalo lawezakuwa la kudumu na pia kupata mlo kamili na utumiaji wa dawa za kuongeza madini ya chuma. Kuliko kufuatilia hali inapokuwa tete.
 
Kwa mtizamo wangu kutakuwa na kitu kingine ambacho kinasababisha uzalishaji wa damu usiwe kwa kiwango kinachotakiwa au kuna kitu kinaharibu damu iliyokwishatengenezwa kwa kasi zaidi.
Hivi kuna uwezekano wa kuwa na kitu kinachoharibu damu tofauti na sickle cell?
 
Hivi kuna uwezekano wa kuwa na kitu kinachoharibu damu tofauti na sickle cell?
Ndiyo, kwa mfano: watu tunaoishi maeneo yenye malaria kwa wingi na kichocho hata bandama linaweza kuharibu damu kwa kasi.

Lakini pia kuna matatizo ya damu mengi sana zaidi ya sickle cell na mengine huleta dalili kama za sickle cell.

Ni mambo ambayo yanahitaji tafakari nzuri na mtaalamu asiwe na haraka. Ili kujua hali ilivyoanza mpaka hapa alipo.
 
Pole sana,tuliza tu akili na jihesabu uko sawa tu, mazoezi sana na msosi hata dawa tumia kwa muda badae unatosa.
asthma mi nnayo ila sijiendekezi ikikaba sana ndo nakula dawa ila mara kibao maji tu na kutulia inaondoka.
Dawa nazo ukiendekeza unakua addicted
 
Kwel kbsa yn
 
Back
Top Bottom