Naomba msaada wa changamoto za kiafya ninazozipitia

Martine Tibe

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
221
156
Nina miaka 26 mwaka 2012 nilianza kuugua kuharisha, kuchoka sana, baridi Kali, miguu kuvimba, uso kuvimba hasa wakat wa asubuhi, mapigo ya moyo kwenda mbio, ngozi kuwa nyeupe . Nilikwenda hospitali nikawa walivyonipima HB nikawa na 2.0g/dl.

Nikapewa BT ,na dawa za minyoo Mambo yakawa shwari lkn mwaka 2014 mambo yakajiyokeza tena nikapimwaHB nikawa na 3g/dl. Nikapewa BT na ferrous . Mambo yakawa shwari lakini mwaka 2017 mamb yakaanza tena lkn nikawahi ktumia ferrous hali ikaisha .

Mpka sasa nikigundua damu kupungua (ambazo naona dalili kama uso kuvimba wakat wa asbh na miguu kuvima ngozi kuwa nyeupe mfano km unajikirimu yan na )natumia ferrous ndo mtindo wa maisha niliyonayo since 2017.Naomba msaada wenu what the diagnosis/problem I battle with?. And what to do?. Na je nipime nini?.
 
Nenda Muhimbili national hospital kitengo cha haematology,ukute una Kansa ya damu(Leukemia), na magonjwa mengine sugu ya damu,wahi upate tiba mapema
Nina miaka 26 mwaka 2012 nilianza kuugua kuharisha, kuchoka sana, baridi Kali, miguu kuvimba, uso kuvimba hasa wakat wa asubuhi, mapigo ya moyo kwenda mbio, ngozi kuwa nyeupe . Nilikwenda hospitali nikawa walivyonipima HB nikawa na 2.0g/dl.

Nikapewa BT ,na dawa za minyoo Mambo yakawa shwari lkn mwaka 2014 mambo yakajiyokeza tena nikapimwaHB nikawa na 3g/dl. Nikapewa BT na ferrous . Mambo yakawa shwari lakini mwaka 2017 mamb yakaanza tena lkn nikawahi ktumia ferrous hali ikaisha .

Mpka sasa nikigundua damu kupungua (ambazo naona dalili kama uso kuvimba wakat wa asbh na miguu kuvima ngozi kuwa nyeupe mfano km unajikirimu yan na )natumia ferrous ndo mtindo wa maisha niliyonayo since 2017.Naomba msaada wenu what the diagnosis/problem I battle with?. And what to do?. Na je nipime nini?.
 
Ni kweli yani
Nenda Mkuu kafanye vipimo ila pendelea pia kula vyakula vya asili na matunda tunda, usisahau kutafuna vitunguu swaumu kila siku.

Kwa Jina la Yesu nafunga Ugonjwa wa kansa ya damu kwako, sio kansa ya damu tu bali aina yoyote ya kansa.

Mkuu, amini tatizo lako limeanza kuisha, nenda hospital kwa ajili ya vipimo zaidi ila wazo la kuwa na kansa lifute.
 
Asnte sana mkuu .. kwa ushauri yan .. daaah kansa mzeee ntakufa bila kufikia malengo yangu ..
 
Daaah yaan naogopa sana kama nikpta kansa, figo, ini , spleen, moyo duuuu nimekwishaaa
 
Don't panic Jesus has never fail anyone,you'll be healed in Jesus name,fanya checkup na ule vizuri,bila ya kusahau maombi...
I do not but sometime I feel depression, guilt, etc But I am not really happy with this battle . Why me ?. I tried to tell some people including colleague but they didn't coparated me well others they Lough at me saying why so while you are a gentleman ?? Are you pregnancy or menstrual ??. Always I meet with this kind situation . Fruits , exercises, green vegetable I am using .
 
Hivi mwanza naweza kwenda kfanya checkup hospital gn tofaut na bugando klingana na tatizo hili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom