Naomba msaada wa changamoto za kiafya ninazozipitia

Habari
Nafikiri bado kuna nafasi ya kufanya majumuisho vizuri ya kinacho kutokea na hali yako.

Pia, kuna uwezekano wa kuwa na kikomo kwa hivi vituo vyetu vya afya katika kufanya vipimo mbalimbali na hivyo kuishia njiani katika kufatilia matatizo ya wagonjwa.

Kwa mtizamo wangu kutakuwa na kitu kingine ambacho kinasababisha uzalishaji wa damu usiwe kwa kiwango kinachotakiwa au kuna kitu kinaharibu damu iliyokwishatengenezwa kwa kasi zaidi.

Sina uhakika kama ulimpata mtaalamu wa damu haematologist au ulifanya kwa daktari wa kawaida na kwa kiwango cha hospitali uliyofanyia vipimo.

Sina uhakika sana suala la lishe peke yake kuwa ni sababu tosha kwa kile ulichokieleza, labda kama unaishi mazingira magumu kwelikweli.

Lakini pia ni mhimu kujua jinsia yako kwani mambo mengine yanaendana na masuala ya jinsi na uwajibikaji wake.

Yale mengine uliyoyaeleza ni matokeo ya damu kushuka sana:
1: kuvimba miguu/uso
2:kuchoka sana
3: kizunguzungu
4: moyo kwenda mbio
5: ganzi
6: kupauka/kuona unakuwa light colored

Endelea kufanya ufatiliaji kwa taratibu wakati ukiwa imara ili kupata suluhisho ambalo lawezakuwa la kudumu na pia kupata mlo kamili na utumiaji wa dawa za kuongeza madini ya chuma. Kuliko kufuatilia hali inapokuwa tete.
Mimi ni mwanaume . Ni kweli nilifnya kwa daktar wa kawaida tu. Maana toka 2012 ndo lilianza nakmbka nilikuw nachoka Sana , kna mwalim mmja akanambia nmepngukiwa damu nilipoenda kupima nikakutwa na hb ya 3g/dl. Then 2013 likajirudia nikakutwa na 2g/dl. Nikalazwa sengerema. Toka hapo haijawah ongezeka . Na tiba niliyopata ni kuongezewa tu damu.
 
Habari
Nafikiri bado kuna nafasi ya kufanya majumuisho vizuri ya kinacho kutokea na hali yako.

Pia, kuna uwezekano wa kuwa na kikomo kwa hivi vituo vyetu vya afya katika kufanya vipimo mbalimbali na hivyo kuishia njiani katika kufatilia matatizo ya wagonjwa.

Kwa mtizamo wangu kutakuwa na kitu kingine ambacho kinasababisha uzalishaji wa damu usiwe kwa kiwango kinachotakiwa au kuna kitu kinaharibu damu iliyokwishatengenezwa kwa kasi zaidi.

Sina uhakika kama ulimpata mtaalamu wa damu haematologist au ulifanya kwa daktari wa kawaida na kwa kiwango cha hospitali uliyofanyia vipimo.

Sina uhakika sana suala la lishe peke yake kuwa ni sababu tosha kwa kile ulichokieleza, labda kama unaishi mazingira magumu kwelikweli.

Lakini pia ni mhimu kujua jinsia yako kwani mambo mengine yanaendana na masuala ya jinsi na uwajibikaji wake.

Yale mengine uliyoyaeleza ni matokeo ya damu kushuka sana:
1: kuvimba miguu/uso
2:kuchoka sana
3: kizunguzungu
4: moyo kwenda mbio
5: ganzi
6: kupauka/kuona unakuwa light colored

Endelea kufanya ufatiliaji kwa taratibu wakati ukiwa imara ili kupata suluhisho ambalo lawezakuwa la kudumu na pia kupata mlo kamili na utumiaji wa dawa za kuongeza madini ya chuma. Kuliko kufuatilia hali inapokuwa tete.
Hv kwa wenyej wa mkoa wa kigoma , pale hospitali ya kigoma (maweni) hematologist yupo?.
 
Mimi si mwenyeji wa Kigoma, lakini kwa idadi ya madaktari wa ngazi husika ni nadra kumpata kwa ngazi hiyo.

Pia, unaweza usimpate daktari bingwa husika lakini unapoenda kwenye ngazi ya juu, unaweza kukutana na daktari mwenye exposure nzuri na mwenye kujali, hivyo kufanya ufatiliaji mzuri zaidi na kupata matokeo chanya kwa uwepo wa vitendeakazi zaidi.

Kitu cha msingi ni kuelewa kila ngazi ya afya ina madaktari ambao wana uwezo wao na pia vitendea kazi kulingana na ngazi husika.

Hivyo basi:
1: Ni jukumu la mtumishi wa afya kuona kuwa yeye pamoja na wenzake wameweza kufanya wanachoweza na hawajafikia mwafaka na hivyo kumsaidia mgonjwa husika kufika kwenye hatua inayofuata mapema zaidi ili kupata utatuzi.

2: Mgonjwa kueleweshwa juu ya upatikanaji wa huduma zaidi yaani wataalamu na vitendea kazi ili yeye kupata husuma impasayo.

Wagonjwa wengi wamekuwa wanaishia hatua za mwanzo na kukata tamaa kutokana na kutokuwepo wepesi wa kuandika referral na kueleweshwa. Wagonjwa huona kuwa wameishafika mwisho wa kutafuta kipi kinachowakwaza.

Kila mmoja huishoa amapojua mwenyewe na kwa uelewa wake.
 
Hakika kbsa , kwa hyo nianzie wap
 
Mwaka 2020, nilitoa Uzi wa kuhusu afya yangu, sasa nimepata suluhisho naleta mrejesho kama wengi mlivyoomba
 
Back
Top Bottom