Kaaya10
Member
- Dec 11, 2017
- 37
- 50
Mpatie please unaonekana unazifahamuUjaelewa ulichoandika, kuna aina mbili za Business Plan
1)Proffessional BS
2)Peraonal BS
1)Proffessional BS:
ndio anayohitaji jamaa hii ina format na mlolongo wake maalum wa kuiandika inamaana katika huo mlolongo unaweka Details kulingana na Biashara yako sifa zake na michalato ila in Proffessional Format.
Hii unaandika kwa kutumia Format maalum unaweka details za Biashara yako tu kama mfano unaweza omba Formart za Assigment, Portifolio, Barua nk.
Hii inatumika kushawishi muwekezaji au kupata mkopo, si muhimu kuandika hii endapo huitaji uwezeshi wowote.
2)Peraonal BS:
Hii ndio unayoizungumzia ni mchakato na mahesabu unayoyapiga mwenyewe Biashara yako... hakuna mfanyabiashara ambae hana hii BS either kwa kuiandika au kichwani kwake. Inamaana hii tiali anayo na ndio muhimu zaidi kwa Biashara yake ila hawezi ipeleka Bank ataonekana chizi.
So, usichangane hivyo vitu viwili, anayohitaji mtoa mada ni Proffessional BS ambayo haikuwa na umuhimu kwake alivyokuwa haitaji msaada.