Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)

Bilashaka unahitaji Proffesional Business Plan inayoonesha mchanganuo wa mahitaji ya Bishara yako ili ufuatilie uwezeshi.

Ni PM inbox tuongee
Naaam lakin sifatilii uwezeshaji Mimi nataka kwa ajili yakukuza biashara yangu tu
 
Nahitaji ili niweze kuedit na kuweka taarifa zangu. Nimejaribu kupitia Google nimeona kuna hatua kadhaa za kufuata zenye kutuliza kichwa kisawasawa.

Lengo la hii business plan ninayotaka kuiandaa ni kwa ajili ya kuombea mkopo Halmashauri wa biashara ya Duka la mahitaji muhimu ya nyumbani almaarufu kwa Mangi.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu
 
Usiedit business plan ili uombee mkopo pekee

Andaa business plan itakayokuwa muongozo sahihi wa biashara yako na kukupa matokeo mazuri ya biashara yako ili uweze kuishi na kurejesha mkopo utakaoomba
Ujaelewa ulichoandika, kuna aina mbili za Business Plan
1)Proffessional BS
2)Peraonal BS

1)Proffessional BS:
ndio anayohitaji jamaa hii ina format na mlolongo wake maalum wa kuiandika inamaana katika huo mlolongo unaweka Details kulingana na Biashara yako sifa zake na michalato ila in Proffessional Format.

Hii unaandika kwa kutumia Format maalum unaweka details za Biashara yako tu kama mfano unaweza omba Formart za Assigment, Portifolio, Barua nk.

Hii inatumika kushawishi muwekezaji au kupata mkopo, si muhimu kuandika hii endapo huitaji uwezeshi wowote.

2)Peraonal BS:
Hii ndio unayoizungumzia ni mchakato na mahesabu unayoyapiga mwenyewe Biashara yako... hakuna mfanyabiashara ambae hana hii BS either kwa kuiandika au kichwani kwake. Inamaana hii tiali anayo na ndio muhimu zaidi kwa Biashara yake ila hawezi ipeleka Bank ataonekana chizi.

So, usichangane hivyo vitu viwili, anayohitaji mtoa mada ni Proffessional BS ambayo haikuwa na umuhimu kwake alivyokuwa haitaji msaada.
 
Business Ya kuombea mkopo halmashauri sio ya kuiandikaandika tuu, mkopo unatakiwa upatikane, urejeshwe na biashara ikue...... mpango biashara wenye mafanikio hauhitaji format pekee, vipo vingi vya kuangalia kitaalamu na kiuzoefu pia kuepukqna na mikopo ambayo hailipiki na biashara hazikui
 
Lakini umesoma na kuelewa nilichoandika mimi vizuri ukaelewa.
 
Ujaelewa ulichoandika, kuna aina mbili za Business Plan
1)Proffessional BS
2)Peraonal BS

1)Proffessional BS:
ndio anayohitaji jamaa hii ina format na mlolongo wake maalum wa kuiandika inamaana katika huo mlolongo unaweka Details kulingana na Biashara yako sifa zake na michalato ila in Proffessional Format.

Hii unaandika kwa kutumia Format maalum unaweka details za Biashara yako tu kama mfano unaweza omba Formart za Assigment, Portifolio, Barua nk.

Hii inatumika kushawishi muwekezaji au kupata mkopo, si muhimu kuandika hii endapo huitaji uwezeshi wowote.

2)Peraonal BS:
Hii ndio unayoizungumzia ni mchakato na mahesabu unayoyapiga mwenyewe Biashara yako... hakuna mfanyabiashara ambae hana hii BS either kwa kuiandika au kichwani kwake. Inamaana hii tiali anayo na ndio muhimu zaidi kwa Biashara yake ila hawezi ipeleka Bank ataonekana chizi.

So, usichangane hivyo vitu viwili, anayohitaji mtoa mada ni Proffessional BS ambayo haikuwa na umuhimu kwake alivyokuwa haitaji msaada.
Ahsante mkuu, umeelezea vizuri sana, hiki ndio ninachokihitaji
 
ukiachana na kuwa na wazo la biashara na business plan, Je n kitu gan kingine wanaangalia ili wakupe mkopo huo,, namaanisha elimu,age au popularity yako au record zako??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom