NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Wandugu natumia Samsung J2 siku hizi nikiweka kwenye charge inaonyesha 0% kuwa inaanza kupeleka moto.
Ajabu nikiiacha hata hadi asubuhi nakuta bado iko 0% hakuna moto.
Ninachoshangaa kama kwenye screen inaonyesha moto unaingia mbona haijai?
Nikichukua hiyo battery nikaweka kwenye simu nyingine ya Samsung J2 inajaa na nikiiweka kwenye simu yangu inafanya kazi tatizo nini wajuzi kununua simu nyingine kipindi hiki ni ngumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app