Naomba msaada simu yangu haiingizi moto

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,019
3,987
Wandugu natumia Samsung J2 siku hizi nikiweka kwenye charge inaonyesha 0% kuwa inaanza kupeleka moto.
Ajabu nikiiacha hata hadi asubuhi nakuta bado iko 0% hakuna moto.

Ninachoshangaa kama kwenye screen inaonyesha moto unaingia mbona haijai?

Nikichukua hiyo battery nikaweka kwenye simu nyingine ya Samsung J2 inajaa na nikiiweka kwenye simu yangu inafanya kazi tatizo nini wajuzi kununua simu nyingine kipindi hiki ni ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Charging system

Jr

Kweli 100% kama ulivyoshauri kwani inabidi aangalie kwanza kama charger yake ni nzima yaani ajaribu kutumia charger nyingine ya uhakika, pili aangalie kile kitundu panapoingizia umeme wa ku charge simu kwani kakipanua hovyo basi hakaingizagi umeme anyway...

Mobile Phone Battery Not Charging Problem and Solution

Follow these Steps One after Another:
  1. Change the charger and check. Voltage must be 5 to 7 Volts.
  2. Clean, Resold or Change the Charger Connector.
  3. If the problem is not solved then change the Battery and Check. Non Removable Battery are Just Glued at the Bottom. They can be Removed Easily but Little Carefully.
  4. Check Voltage of the Battery Connector using a Multimeter. Voltage must be 1.5 to 3.7 DC Volts.
  5. If there is no voltage in the connector then check track of the charging section. Refer to the diagram of the particular model of the mobile phone. Books with track diagrams are easily available in the market. The same can also be searched on the internet.
  6. If the problem still not fixed then check Fuse, Coil and Regulator – one by one. Change if required.
  7. If the problem is still not solved then Heat or Change the Charging IC.
  8. Lastly Heat, Reball or Change the Power I
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom