Naomba msaada sijaielewa HESLB hasa kwa chuo cha Mweka

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Wanajamvi nisaidieni,hivi wanafunzi wanaosoma science pale chuo cha wanyamapori-Mweka wanapewa mkopo asilimia ngapi na Tsh.ngapiI?
 
Huwa mkopo hawatoi kutokana na vyuo. Wanatumia formular moja kwa vyuo vyote Tanzania.
 
Back
Top Bottom