jerry monny
Member
- Dec 6, 2010
- 94
- 0
tafadhalini wandugu naomba mwenye kujua ilipo shule nzuri ya mchepuo wa sayansi.nina mjomba wangu ndio mwenye uhitaji.ada iwe ya jamaa isiwe ya kifisadi tafadhalini kwani uchumi wenyewe sio mzuri kivile.asanteni kwa msaada wenu.