junior tbt
Member
- Mar 17, 2016
- 19
- 4
Wanajamvi cm yang TECNO C8 inastack WhatsApp, inagoma kudelete groups chats even to delete group inagoma inaniandikia"unfortunately WhatsApp z not responding"WHAT SHULD I DO PLZ!!!
Fanya factory reset.... Au flash kwa STOCK ROM au CUSTOM ROM Iliokua stable... Kwanza hizo sim aina ya Tecno C8 waga zina custom ROM ya samsung unaweza kuimport...for more info check na Google..Wanajamvi cm yang TECNO C8 inastack WhatsApp, inagoma kudelete groups chats even to delete group inagoma inaniandikia"unfortunately WhatsApp z not responding"WHAT SHULD I DO PLZ!!!
jaribu hardware reset kwanza aka reboot ila ukifanya hivyo utakutana na frp inabidi ukumbuke google account yakoWanajamvi cm yang TECNO C8 inastack WhatsApp, inagoma kudelete groups chats even to delete group inagoma inaniandikia"unfortunately WhatsApp z not responding"WHAT SHULD I DO PLZ!!!
Ndugu hv kuna way ku-unstal then installation upya bila kuexist kwenye some of groups?Fanya factory reset.... Au flash kwa STOCK ROM au CUSTOM ROM Iliokua stable... Kwanza hizo sim aina ya Tecno C8 waga zina custom ROM ya samsung unaweza kuimport...for more info check na Google..
Yap na text, picha, video, zote unazkuta hata za mwaka jana kama hukufutaNdugu hv kuna way ku-unstal then installation upya bila kuexist kwenye some of groups?
Yap! Inawezekana... Endapo tu utafanya BACKUP ya Data zako...Any attempt without backup your data, everything i'll be lost...!!Ndugu hv kuna way ku-unstal then installation upya bila kuexist kwenye some of groups?