Naomba msaada niweze kupata kazi🙏🙏

Ngengemkeni ngoswe

Senior Member
Mar 21, 2015
155
250
Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani
Naombeni msaada wenu tafadhal ndugu zang naamin kupitia jukwaa hili naweza kupata msaada
NATANGULIZA SHUKRAN 🙏
 
Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
5,190
2,000
Kama wewe nimeona washkji kibao wamekwenda Rufiji wengine Moro kwenye miradi ya mkakati na wana piga kazi..
Mwana jaribu nawe utapata kazi.. INSHALLAH
 
Evarest cath

Member
Feb 25, 2019
14
45
Pole sana.
Kama uko tayari kujifunza kazi za Ujenzi na kutengeneza vifaa vya ujenzi karibu kwetu apa tuna fursa nyingi sanaa unaweza kupata kitu.
Teknolojia yetu ya ujenzi ni mpya na ina fursa chungu nzima.
Tunapatikana Kibaha Misugusugu.
 
Aug 31, 2021
35
125
Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani
Naombeni msaada wenu tafadhal ndugu zang naamin kupitia jukwaa hili naweza kupata msaada
NATANGULIZA SHUKRAN

Kazi ya aina gani? Una elimu kiwango gani?! Ni vizuri unapoomba msaada wa kusaidiwa kupata kazi ukatoa maelezo ya kutosha kidogo na sio kwa namna hii! Hii kwa wengine itamaanisha your seriousness on what you are seeking is questionable!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom