Naomba msaada nimepata chuo second round lakn nimeshindwa kufanya comfirmaton

Robby moshi

New Member
Oct 2, 2018
3
0
Naombeni msaada

Nimechaguliwa chuo second selection ifm lakn ila kwenye orodha ya matple selecton sipo ila ifm walinielekeza kuwa ni confirm code nilizopata toka tcu nami code sijapata hivyo nimeshindwa ku comfirm na nilivyo cheki kwenye adimission ya ifm nimekuta programme selected wameitoa nifanyeje nami dhumuni langu nataka kwenda kusoma ifm,
 
Wasiliana na chuo husika haraka na waelekezee watakusasidia mkuu
 
Kama upon dar nenda ifm kaonane na admission au kama upo mbali wapigie simu watakutatulia tatizo lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom