Naomba msaada nimebadilishiwa password na kufungiwa email adress yangu ya yahoo

Nam...

Member
Nov 11, 2011
51
0
Naomba wana JF mnisaidie katika hili kwani sielewi baada ya kupigiwa simu na jamaa yangu akiniambiwa kuwa ametumiwa ujumbe kupitia yahoo, akiambiwa kuwa nimeibiwa mali zangu wakati nikitoka safari yangu nje ya nchi wakati mimi mwenyewe sijasafiri nikamjibu hivyo.

Baada ya hapo nikaamua kufungua mtandao nione email ikakataa na nimejaribu njia za ku-recover password zote zimekataa. nisaidieni jamani.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,679
2,000
Haujatumia njia ya kurecover wewe! Mie navyojua ulipojisajiri hyo acc uliingiza alternative mail sasa ndio nenda kwenye forget psw click then ukaifungue hyo email utapata psw mpya!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom