Naomba msaada ndugu zangu JF, nipate mwalimu wa kunifundisha lugha ya kingereza cha kuongea na kuandika

Sawa sawa.. ! Mfano mimi ningependa kujifunza kispanish unafikiri ni lugha rahisi ?

Hii biashara ya utalli iko vipi unahitaji mtaji kiasi gani au bitu gani muhimu uweze kuifanya?
Unahitaji ujuzi wa computer skills na English language skills. Kabla haujajifunza Spanish, German, French etc.. ni muhimu ujifunze English vizuri sana sababu hizo nchi za Ulaya watu wengi wanajua English pia. Netherlands wanaongea Dutch + English. Germany - German + English hivyo hivyo. English ni primary language katika tourism na vijana wengi wanakosea wanajifunza lugha nyingi mwishoni wa siku hata English haijui vizuri na hizo lugha nyingine pia anazijua juu tu.
 
Sawa sawa.. ! Mfano mimi ningependa kujifunza kispanish unafikiri ni lugha rahisi ?

Hii biashara ya utalli iko vipi unahitaji mtaji kiasi gani au bitu gani muhimu uweze kuifanya?
Tourism capital umeshapewa ni mbuga za wanyama. Sasa inatakiwa kuleta wageni tu. Magari nk unakodisha hapo mwanzoni. Ukishajua kuji-promote vizuri online kwa website yako na ukawa na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wageni.. utapata sana. Wageni wanaanza kuulizia information kwamba waende wapi, gharam ziko nk. Unatakiwa uweze kuwapa information nzuri, na muda si muda wanafanya booking, and the $$ is yours.
 
Spanish ni rahisi zaidi sababu rules zake nyingi zinaendana na za kiswahili. Kwa mfano.. kiswahili tunasema msichana mrembo.. Spanish unasema "muchacha bonita." Muchacha ni msichana.. bonita ni mzuri/mrembo. Ila kiingereza unasema a beautiful girl. Ukitafsiri moja kwa moja kiswahili utasema mrembo msichana au mzuri msichana.. sababu beautiful imetangulia lakini kwa kiswahili na spanish hio adjective inakuja baada ya nomino.
Ps: Mwisho wa siku, practice is very important. Sasa Spanish pamoja na urahisi wake kujifunza, hakuwa watu wengi Tz kufanya practice nao.
Uko sahihi binafsi naiona ni lugha rahisi kujifunza
 
Tourism capital umeshapewa ni mbuga za wanyama. Sasa inatakiwa kuleta wageni tu. Magari nk unakodisha hapo mwanzoni. Ukishajua kuji-promote vizuri online kwa website yako na ukawa na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wageni.. utapata sana. Wageni wanaanza kuulizia information kwamba waende wapi, gharam ziko nk. Unatakiwa uweze kuwapa information nzuri, na muda si muda wanafanya booking, and the $$ is yours.
So unatakiwa uweze kujua taarifa za kila mbuga/vivutio vilivyopo
mfano ghaarama, sheria kwa wageni /vibali je?..au .. ni vitu gani haswa?
 
Yes. Hio ni lazima. Kama hauna ujuzi sana tafuta tour guide mzoefu akusaidie.
 
So unatakiwa uweze kujua taarifa za kila mbuga/vivutio vilivyopo
mfano ghaarama, sheria kwa wageni /vibali je?..au .. ni vitu gani haswa?
Pi inatakiwa ujue hoteli au camp au lodges nzuri karibu au ndani ya kila mbuga.. gharama yake.. kama kuna surcharges nk.
 
Hizo camp na hotels inawezekana wakakulipa /affiliates? Kwa kuwaletea wateja ambao ulipata kupitia web yakk na gharama zako za marketing?
 
Kabisa. Ni makubaliano tu kati yako na mwenye lodge/hotel. Ila mwanzoni tafuta kwanza accommodation places nzuri na unaweza kutumia pia reviews za airbnb, tripadvisor, google business nk kijua ubora wa accomodation site. Ukipeleka wageni unaongea na manager au owner kabisa namna ya kuunda partnership fulani.
 
Vizuri mkuu, inaonesha ni biashara nzuri inayohitaji network na connection ya maana!
 
Back
Top Bottom