DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,327
Unahitaji ujuzi wa computer skills na English language skills. Kabla haujajifunza Spanish, German, French etc.. ni muhimu ujifunze English vizuri sana sababu hizo nchi za Ulaya watu wengi wanajua English pia. Netherlands wanaongea Dutch + English. Germany - German + English hivyo hivyo. English ni primary language katika tourism na vijana wengi wanakosea wanajifunza lugha nyingi mwishoni wa siku hata English haijui vizuri na hizo lugha nyingine pia anazijua juu tu.Sawa sawa.. ! Mfano mimi ningependa kujifunza kispanish unafikiri ni lugha rahisi ?
Hii biashara ya utalli iko vipi unahitaji mtaji kiasi gani au bitu gani muhimu uweze kuifanya?