Naomba msaada ndugu zangu JF, nipate mwalimu wa kunifundisha lugha ya kingereza cha kuongea na kuandika

That was only caused your arrogance and insanity as well.
But this should be a lesson to you the impact of teasing anonymous people.
"But" can never be used at the beginning of a sentence. Also, the first sentence is grammatically wrong. Here below is the correct form:
This incident was mainly caused by your arrogance as well as insanity, but it should be a lesson to you for testing anonymous people.

Use "mainly" badala ya "only."
Function moja ya "but" is to join two complete sentences, lakini KAMWE USITUMIE "BUT" MWANZONI MWA SENTENSI. English grammar rules zinakataza hilo.
Ulitakiwa kuandika "by" between "caused" and "arrogance."
Also, "teasing" sio sahihi.. Andika "testing"
 
Hapana mkuu.
Young brother nitakupa ushauri. Kuhitaji mwalimu binafsi (private tutor/ instructor) inahitaji hela kidogo. Kwa hio uwe tayari kuingia gharama kama lengo lako ni kuwa na private tutor. Pia Tanzania uwe mwangalifu. Wengi wanaojiita English instructors hata wenyewe hawajui English. Ukipata mwalimu ambaye ame-staafu na anasifika vizuri kwa English proficiency ni jambo zuri. Vijana wengi wanaofundisha English hawakijui. Wazee waliosoma miaka ya 70's na kama alikuwa mwalimu wa secondary, wengi wao wako vizuri sana na wanajua lugha. Badala ya kutegemea JF, jaribu kuulizia mtaani, mashuleni nk.. Kitu kizuri hakipatikani mara moja. Itabidi ufanye research kubwa ili kupata mwalimu mzuri.
 
Mfumo wa Swahili language shule ya msingi umechangia kufanya waTz wasijue English. Umri mdogo ndio wa kujifunza lugha. Sasa kama mtu primary yote hajajifunza lugha halafu unamwambia aikomalie akiwa secondary, na unampatia masomo mengine 10 ayasome, ni system mbaya.

Form four mkuu.
 
Young brother nitakupa ushauri. Kuhitaji mwalimu binafsi (private tutor/ instructor) inahitaji hela kidogo. Kwa hio uwe tayari kuingia gharama kama lengo lako ni kuwa na private tutor. Pia Tanzania uwe mwangalifu. Wengi wanaojiita English instructors hata wenyewe hawajui English. Ukipata mwalimu ambaye ame-staafu na anasifika vizuri kwa English proficiency ni jambo zuri. Vijana wengi wanaofundisha English hawakijui. Wazee waliosoma miaka ya 70's na kama alikuwa mwalimu wa secondary, wengi wao wako vizuri sana na wanajua lugha. Badala ya kutegemea JF, jaribu kuulizia mtaani, mashuleni nk.. Kitu kizuri hakipatikani mara moja. Itabidi ufanye research kubwa ili kupata mwalimu mzuri.
Basi sawa mkuu
 
"But" can never be used at the beginning of a sentence. Also, the first sentence is grammatically wrong. Here below is the correct form:
This incident was mainly caused by your arrogance as well as insanity, but it should be a lesson to you for testing anonymous people.

Use "mainly" badala ya "only."
Function moja ya "but" is to join two complete sentences, lakini KAMWE USITUMIE "BUT" MWANZONI MWA SENTENSI. English grammar rules zinakataza hilo.
Ulitakiwa kuandika "by" between "caused" and "arrogance."
Also, "teasing" sio sahihi.. Andika "testing"
Who are you to command me using your vocabularies?
Are we in Exam here?
I think your common sense is not common.
Period!
 
we had enough from both of you, just stop it
Mtabishana mpak saa ngapi ndg zang
My dear brother, everything in life has something positive in it. Arguing and fighting with the guy taught me a few things about life, people, and business. Binafsi nahakikisha kila kitu ninachofanya ninajifunza kitu cha kunisaidia maishani including how to live with people, or how to succeed in business. Therefore, it was all for the better japo ilikuwa kama battlefield.

I hope the guy has learned somethings also. Si lazima anipende na mimi si lazima nimpende. Cha muhimu ni mwanadamu mwenzangu duniani hapa na mwisho wa siku hakuna aliyetoa damu na kila mtu remained real kabisa bila kuficha au kumumunya kitu. Furthermore, emotional and passionate arguments are also good sometimes.
 
You have issues , no offense brother
 
Mkuu are you "white".. ?
Maana umetumia kile kitu tunachoita "white voice"
Black. Born in Tanzania. Nilienda USA nikiwa 18 years old kwa hio nikachukua chukua accent ya kule. Accent (lafudhi) mara nyingi inakuwa rahisi ukiwa na umri fulani sababu ulimi unakiwa mzito umri unavyosogea. In other words, accent inajumuisha uwezo wa mtu kubadilisha muundo wa ulimi. Kwa watoto ni rahisi zaidi ila ukishafikia 20 something inakuwa ngumu kidogo.
 
Kwa hio ukitaka mtoto wako aongee kama Americans, inabidi aende kuishi kule kwa muda fulani kabla ya umri kwenda sana.
Sawa sawa.. ! Mfano mimi ningependa kujifunza kispanish unafikiri ni lugha rahisi ?

Hii biashara ya utalli iko vipi unahitaji mtaji kiasi gani au bitu gani muhimu uweze kuifanya?
 
Spanish ni rahisi zaidi sababu rules zake nyingi zinaendana na za kiswahili. Kwa mfano.. kiswahili tunasema msichana mrembo.. Spanish unasema "muchacha bonita." Muchacha ni msichana.. bonita ni mzuri/mrembo. Ila kiingereza unasema a beautiful girl. Ukitafsiri moja kwa moja kiswahili utasema mrembo msichana au mzuri msichana.. sababu beautiful imetangulia lakini kwa kiswahili na spanish hio adjective inakuja baada ya nomino.
Ps: Mwisho wa siku, practice is very important. Sasa Spanish pamoja na urahisi wake kujifunza, hakuwa watu wengi Tz kufanya practice nao.
 
Back
Top Bottom