Naomba msaada nasumbuliwa na allergy. Natokwa na vipele nikitumia dawa vinapona na kurudi tena

Habari za usiku wapendwa Wana jf, jaman nasumbuliwa na allergy isiyoisha nimetokwa na vipele baadhi ya sehemu za mwili na vinawasha sana.Nimeenda hosp nikapimwa kweli nikakutwa na allergy ya baadhi ya vyakula vumbi nk,nimeacha kutumia vyote nilivoshauriwa lakini nikitumia dawa vinaisha alafu vinarudi tena naombeni ushauri this time nimetumia dawa lkn tatizo lipo palepale

Kama Kuna anaejua dawa za asili anisaidie please

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Naomba niseme kitu hapa....

Unaweza kukatazwa kula vyakula hata vyote kabisa lakini shida ikawa si vyakula ni kile unachoweka kwenye chakula au aina fulani ya dawa umezoea kutumia ndio zikawa zinakupa shida....

Mfano, kuna baadhi ya mafuta ya kupikia yamekuwa yakiwa sababishia watu allergy isiyo ya kawaida sijajua kuna tatizo gani huko ila tunaweza kuwaza je, mchezo wa uchakachuaji umeanza tena?

Nyingine ni matumizi ya aina fulani fulani za dawa mfano jamii ya dawa zenye sulphur kuna baadhi ya watu wanapata changamoto

Kwahiyo kwenye ishu ya allergy tafuta kile kinachounganisha na kusababisha allergy na siyo uangalie kimoja tu basi naamini kama ni hivyo kuna siku hata ukipika ugali utapata allergy sasa? Sorry

ITAFUTE SABABU USIKATE TAMAA
 
Ingia kwenye google tafuta vyakula na mimea inayotibu hio aina ya allergy, tumia kwa muda mrefu vitaisha.
 
Naomba niseme kitu hapa....

Unaweza kukatazwa kula vyakula hata vyote kabisa lakini shida ikawa si vyakula ni kile unachoweka kwenye chakula au aina fulani ya dawa umezoea kutumia ndio zikawa zinakupa shida....

Mfano, kuna baadhi ya mafuta ya kupikia yamekuwa yakiwa sababishia watu allergy isiyo ya kawaida sijajua kuna tatizo gani huko ila tunaweza kuwaza je, mchezo wa uchakachuaji umeanza tena?

Nyingine ni matumizi ya aina fulani fulani za dawa mfano jamii ya dawa zenye sulphur kuna baadhi ya watu wanapata changamoto

Kwahiyo kwenye ishu ya allergy tafuta kile kinachounganisha na kusababisha allergy na siyo uangalie kimoja tu basi naamini kama ni hivyo kuna siku hata ukipika ugali utapata allergy sasa? Sorry

ITAFUTE SABABU USIKATE TAMAA
Noted
Asante Kwa ushauri wako

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Habari za usiku wapendwa Wana jf,

Jaman nasumbuliwa na allergy isiyoisha nimetokwa na vipele baadhi ya sehemu za mwili na vinawasha sana. Nimeenda hosp nikapimwa kweli nikakutwa na allergy ya baadhi ya vyakula vumbi nk, nimeacha kutumia vyote nilivoshauriwa lakini nikitumia dawa vinaisha alafu vinarudi tena naombeni ushauri this time nimetumia dawa lkn tatizo lipo palepale.

Kama Kuna anaejua dawa za asili anisaidie please.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuwa makini humu Wengine wapigaji tu, Kama uyo yeye Hana maradhi ambayo hawezi kuyatibu,hadi ukimwi,kansa, hadi kifo anazuia kisije,
Huyu mtu aliwahi kunipiga, kwa sasa sina hamu naye.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu vumbi siyo sana vyakula ndo shidaaaa imagine nimeambiwa nisile nyama,samaki Aina zote dagaa maziwa mayai vyakula vinavotengenezwa na ngano daaah nimeacha lkn wapii

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Dah! Yaan vyakula hivyo vyote basi usiishi Tanzania na wakati doctor anaongea nakuangalia au anasoma.

Kwanza alikuwa doctor kweli au yupo internet maana dah? Vyakula hivyo vyote si Bongo ndio Life
 
Nilipimwa kabisa kile kipimo Cha skin test majibu yakatoka hvyo Sasa sijui majibu yalikua yanasomwa niliambiwa niache Kwa mda (6months) lakini tatizo limerudi mapema
 
Allergy haina Dawa,,, binafsi hali hiyo ilikua inanitokea sana tena Natokwa n mapunye Mwili mzima,,,,,, kilichotokea baada y kupona niliambiwa nifanye research ili nijue chakula gani kinachoniletea allergy,,,so nilikua natumia Mboga Aina moja kwa siku Tatu ,,Majibu yalikua Kama ifuatavyo:-

Nyama siku 3--> non reaction
Samaki(sato) siku 3 ---> non reaction
Dagaa siku 3 --> preliminary sign of reaction
Samaki(sangala) siku 3--> high reaction(mapunye)
Mboga za majani hazikua n Shida hata kidogo

So ikaonekana vyakula vya Majini ndo vinavyonipa allergy ila sangara ina high reaction ukilinganisha n sato n Dagaa... Ili ku-prove hilo nilifululiza kula sato wiki Moja nikatokwa n mapunye nikajua sitakiwi kula vyakula Aina zote za Majini .toka niache kula vyakula vya majini sijawai tokwa n allergy tena..

Possible sijaandika vizuri ila kuna Kitu utajifunza ndugu
 
Yeah nimejifunza kitu Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom