Naomba msaada nasumbuliwa na allergy. Natokwa na vipele nikitumia dawa vinapona na kurudi tena

Napia kama kuna wengine wenye tatizo hili tuwasiliane ntawaelekeza dawa bure kabisa bila kuwatoza chochote,dawa niyakutibu upele wote namiwasho yote kwaharaka sana siku 3 tuu..
 
Napia kama kuna wengine wenye tatizo hili tuwasiliane ntawaelekeza dawa bure kabisa bila kuwatoza chochote,dawa niyakutibu upele wote namiwasho yote kwaharaka sana siku 3 tuu..
Tuelekeze hapahapa natanguliza shukrani
 
Sawa mkuu kwahapa ningumu kidogo maana jinsi yakuandika maelezo vizuri inakua tabu nami nataka mtu nimuelekeze vizuri kabisa.
Nandio maana imenibidi kesho asubuhi nichukue video fupi nikionesha hii dawa kwamaelezo mazuri kabisa...kisha niwatumie kila mtu whatsapp.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom