Naomba msaada, namna ya kupata vitabu hivi

Waterlemon

Senior Member
Sep 2, 2016
137
178
Wana jamvi mu hali gani?

Kuna yeyote anaeweza kujua wapi naweza kuvipata vitabu vya visa vya Abunuwasi? Vitabu hivi very classic na nimejaribu kuvisaka nipate kumwonjesha mila za utoto wangu kwa mwanangu, maana tamaduni siku hizi hazidumu, hasa ukiwa mbali na ulikozaliwa.

Naomba kwa anaejuwa anipe maelekezo.

Shukran!
 
Maktaba
 
Watembezaji wengi hupenda kupitisha pitisha kwenye Pubs mida ya jioni, Vipo, Bahati yako tu.
Mimi majuzi pale Kinyaiya, Ubungo nimejipatia Copy tatu za Willy Gamba
 
Wana jamvi mu hali gani?

Kuna yeyote anaeweza kujua wapi naweza kuvipata vitabu vya visa vya Abunuwasi? Vitabu hivi very classic na nimejaribu kuvisaka nipate kumwonjesha mila za utoto wangu kwa mwanangu, maana tamaduni siku hizi hazidumu, hasa ukiwa mbali na ulikozaliwa.

Naomba kwa anaejuwa anipe maelekezo.

Shukran!
Kama nenda Kariakoo au Posta kwa wauzaji vitabu na magazeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran waungwana.

Hamna duka la kuaminika ambalo wanafanya manunuzi online na wanaweza kutuma nakala hizo nje ya nchi?

(Online shopping namaanisha, na international packing and posting service. Website ya maduka hayo kama yapo nitashukuru sana)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom