Nimefanikiwa kupitia Youtube, kumbe unaweza ku-sign upo bila ku sacn QR CODE
Aaaaah ouk sawa nimekuelewa vema,Ni wa china. Like whatsapp ya china. pia una option ya kutuma pesa NK. Ni mzur kama unafanya biasha ya kunua vitu china maana unarahisisha mawasiliano
Lakini huwezi kumtumia mtu pesa wala huwezi kupokea pesa.Nimefanikiwa kupitia Youtube, kumbe unaweza ku-sign upo bila ku sacn QR CODE
Huwezi kutuma pesa mpaka uwe unatumia namba ya China na una akaunt ya bank ya chinaNi wa china. Like whatsapp ya china. pia una option ya kutuma pesa NK. Ni mzur kama unafanya biasha ya kunua vitu china maana unarahisisha mawasiliano
Huwezi kutuma pesa mpaka uwe unatumia namba ya China na una akaunt ya bank ya china