Naomba msaada namna ya kujiunga WeChat

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,580
1,622
Habari WanaJf,

Nashindwa kujiunga we chat, kila nikijaribu inagoma ku-verify inataka ni-scan QR code.

Naomba msaada wakuu.
 
Ni wa china. Like whatsapp ya china. pia una option ya kutuma pesa NK. Ni mzur kama unafanya biasha ya kunua vitu china maana unarahisisha mawasiliano
Umemjibu vyema, nahisi ameelewa kwa 100%
 
Hapa wachina walicheza huwez kujiunga kichwa kichwa interesting enough kuna sehem ya translate yaan unaweza ukawa unachat by using English na mtu wa china na bado ukawa unaelewa nn ameandka hii ni zaid ya wats app mazee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom