R Robery12 Member Jan 18, 2020 11 5 Nov 29, 2020 #1 Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
Azizi Mussa JF-Expert Member May 9, 2012 9,172 7,428 Nov 29, 2020 #2 Kwani siku hizi darasa la 5 hawafundishi tena namna ya kuandika barua za kirafiki na za kiofisi? Anyway, tafuta karatasi na kalamu, meza, mahali pa kugandamizia, anza kuandika jina lako, unakoishi, tarehe, Andika kichwa cha habari, kisha maelezo yako, weka kwenye bahasha ipeleke unakotaka.
Kwani siku hizi darasa la 5 hawafundishi tena namna ya kuandika barua za kirafiki na za kiofisi? Anyway, tafuta karatasi na kalamu, meza, mahali pa kugandamizia, anza kuandika jina lako, unakoishi, tarehe, Andika kichwa cha habari, kisha maelezo yako, weka kwenye bahasha ipeleke unakotaka.
E EllySkyWilly JF-Expert Member Aug 28, 2020 2,204 2,083 Nov 30, 2020 #4 Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Google, utapata maelezo yote kwa kina na unaweza kubahatika na kupata barua ya internship.
Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Google, utapata maelezo yote kwa kina na unaweza kubahatika na kupata barua ya internship.
6321 JF-Expert Member Oct 16, 2016 649 1,116 Nov 30, 2020 #5 Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Ni pm email yako.
Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Ni pm email yako.