teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 136
Wapendwa naomba msaada, shida yangu ni kwamba mimi ni karani wa Kanisa na nina majina na namba za washiriki zaidi ya 700 na ninahitaji kupata app ambayo nitaitumia nikihitaji jina la mtu na type na jina lake linakuja likiwa limesheheni wasifu wake kwa ujumla, mtu mmoja aliniambia kuwa access inaweza hiyo kitu lkn bahati mbaya sijui kuitumia ingawa naweza kutumia excell, powerpoint, word na nyingine chache. Kama ikiwezekana nitumie smart phone au laptop, natanguliza shukrani.
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk