Naomba msaada: Mzee wa miaka 94, kuishiwa nguvu na kupoteza fahamu kila siku zaidi ya masaa 2!

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,629
2,288
Habari wandugu nina mzee wangu ana 94 years anasumbuliwa na tatizo moja Kkla siku anaweza kupoteza kumbukumbu na kuishiwa nguvu kabisa kama kwa saa moja au mpaka matatu baada ya hapo, anapata nguvu na kumbukumbu zinamrudia, anaweza kutembea na kuongea vizuri tu, utadhani hakuwa na tatizo msaada huu ni ugonjwa gani kwa wataalamu hospitali wakipima wanasema hamna kitu.
 
Kama kuna daktari yoyote atoe mwenye kutibu magonjwa ya wazee atoe namba tuwasiliane naweza pata msaada
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom