brton
Senior Member
- May 7, 2019
- 174
- 151
IDD mubarack to you all, km nlivoeleza naomba msaada mwenye kufahamu bei za incubator anijulishe nina mpango wa kutotolesha mayai, pia naomba msaada kwa mwenye uzoefu na biashara hizi, mi Nina kuku sasso ila huwa nachukua tu vifaranga but now nahitaji kukuza biashara yangu kwa kutotolesha mayai mwenyewe