DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 232
- 645
Wakuu habari,kuna motor wa mashine ya kusaga nyama hapa,huu motor una capacitor mbili ya startup ina 100microfarad na wa run-up una 20 microfarad.
Tatizo la motor ni kwamba ukiwasha unazunguka taratibu mnoo kuliko kiwango chake cha awali.
Capacitor nimezipima zote zinapiga shot vizuri.
Naombeni msaada kwa anayejua tatizo linaweza kuwa ni nini?