Naomba msaada: Moto wa Meat Grinder unazunguka slow sana

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
232
645
Wakuu habari,kuna motor wa mashine ya kusaga nyama hapa,huu motor una capacitor mbili ya startup ina 100microfarad na wa run-up una 20 microfarad.

Tatizo la motor ni kwamba ukiwasha unazunguka taratibu mnoo kuliko kiwango chake cha awali.

Capacitor nimezipima zote zinapiga shot vizuri.

Naombeni msaada kwa anayejua tatizo linaweza kuwa ni nini?

20210610_220639_mfnr.jpg
JPEG_20210611_152407_2410654529019662929.jpg
20210610_154814_mfnr.jpg
 
Capacitor nimezipima zote zinapiga shot vizuri
si busara kupima caps kwa kuzipiga shoti

kuna multimeter mpaka za sh.5000 jombaa

pima na mita izo caps uone kama zinasoma ile iliyoandikwa kwenye label, zina tabia za kushuka

unawezakuta iko labelled 100uF, ila ukipima unakuta imeshuka to 40uF na ikapiga shoti vizuri , but haiwezi sukuma motor sawia
 
Badilisha hiyo run up capacitor kwakuwa inashindwa kuboost up current for running. Inazunguka kwakuwa starting up capacitor imefanya kazi yake. Hiyo 20mf ndio inashindwa kufanya kazi.
Windings zingekuwa na shida hata hiyo slow rotation usingeipata.
 
Okay, kwahiyo kwenye mita unaweka wapi
 
Badilisha hiyo run up capacitor kwakuwa inashindwa kuboost up current for running. Inazunguka kwakuwa starting up capacitor imefanya kazi yake. Hiyo 20mf ndio inashindwa kufanya kazi.
Windings zingekuwa na shida hata hiyo slow rotation usingeipata.
Ok, Sawa sawa
 
Wakuu habari,kuna motor wa mashine ya kusaga nyama hapa,huu motor una capacitor mbili ya startup ina 100microfarad na wa run-up una 20 microfarad.

Tatizo la motor ni kwamba ukiwasha unazunguka taratibu mnoo kuliko kiwango chake cha awali.

Capacitor nimezipima zote zinapiga shot vizuri.

Naombeni msaada kwa anayejua tatizo linaweza kuwa ni nini?

View attachment 1815301View attachment 1815302View attachment 1815303
Pima hizo capacitors.
 
Back
Top Bottom