B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
Jamani naomba msaada,wife wangu amekuwa na tatizo la mimba kuaribika, zisha aribika mimba mbili, sasa ana ujauzito mwingine wa miezi mitano, juzi ghafla kaaza kuona period japo damu sio nyingi sana, ikabidi aende hosptal.
Ambapo alifanyiwa vipimo vya ultra sound ikaonekana mimba haina tatizo sana. swali langu ninalo itaji msaada kuna uwezekano wa mama kuona hedhi hata kidogo kipindi cha ujauzito na mimba ikawa salama? na kuna sindano kaandikiwa zinaitwa MULUT INTRAMUSCULAR DEPORT [250MG]
Nataka kujua hizi sindano zina saidia nini na ningapi anatakiwa kuchomwa?maana moja nimeambiwa 30000 na anatakiwa kuchomwa kila wiki? note mimi siko huko ni tarifa tu napewa.
Asanteni