Walitangazaga mkoa Wa iringa una mashoga 1500......... Simply ni NGO inayojihusiha na utoaji Wa elimu kwa vijana kuhusu magonjwa mbali mbali na na athari za utumizi Wa madawa ya kulevya kwa maelezo zaidi tembelea website yaokwa yeyote anayeifahamu hii NGO naomba anipe maelezo zaidi..maana wameniiita kwenye interview
Umenikumbusha Student Partnership Worldwide....nilijipatiaga vijizawadi. Kumbe ndio hawa!Zamani ilikuwa inaitwa SPW
nimeishi iringa miaka 3 sijawahi sikia ata dalili ya shoga khaaaaa hili povu.......Walitangazaga mkoa Wa iringa una mashoga 1500......... Simply ni NGO inayojihusiha na utoaji Wa elimu kwa vijana kuhusu magonjwa mbali mbali na na athari za utumizi Wa madawa ya kulevya kwa maelezo zaidi tembelea website yao
Una maana gani.Ni NGO iliyojaa makanjanja sijapata kuona aisee
Me nimeshatumika huko more than two years, we endelea kukariri kuwa watz wana roho mbaya. Ikiwa me nna roho mbaya dhidi ya shirika hlo, ntapata nini? Nimetoa maoni yangu kwa vile nnavyolifamu hlo shirika.Una maana gani.
Mbona watz mna roho mbaya hivi duh
Swadaktaaaaaaairinga wapo kalibu na lugalo sec or dom road
Mkuu wapo tena shogammojawapo ni Dr hospitali ya..........!!!nimeishi iringa miaka 3 sijawahi sikia ata dalili ya shoga khaaaaa hili povu.......
Wacha na wenginee wakatumike kila mtu na bahati yake hapa duniani. Kama wewe palikushindwa ama unapadharau bas sio lazima useme baki nayo moyoni kwako.Me nimeshatumika huko more than two years, we endelea kukariri kuwa watz wana roho mbaya. Ikiwa me nna roho mbaya dhidi ya shirika hlo, ntapata nini? Nimetoa maoni yangu kwa vile nnavyolifamu hlo shirika.
Kuna mtu nimemzuia kwenda huko? Mleta mada aliulizia nini? Umekunywa viroba nini?Wacha na wenginee wakatumike kila mtu na bahati yake hapa duniani. Kama wewe palikushindwa ama unapadharau bas sio lazima useme baki nayo moyoni kwako.
du hyo hatar jamaniMkuu wapo tena shogammojawapo ni Dr hospitali ya..........!!!