Naomba msaada kwa wanaoifahamu NG'O ya restless development

matyhans

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
610
400
kwa yeyote anayeifahamu hii NGO naomba anipe maelezo zaidi..maana wameniiita kwenye interview
 
Walitangazaga mkoa Wa iringa una mashoga 1500......... Simply ni NGO inayojihusiha na utoaji Wa elimu kwa vijana kuhusu magonjwa mbali mbali na na athari za utumizi Wa madawa ya kulevya kwa maelezo zaidi tembelea website yao
 
Wewe ndyo mkuda unachuki binafsi, matunda spw au Restless njoo mby,iringa wapo na madiwani mby zaidi ya 3
 
Walitangazaga mkoa Wa iringa una mashoga 1500......... Simply ni NGO inayojihusiha na utoaji Wa elimu kwa vijana kuhusu magonjwa mbali mbali na na athari za utumizi Wa madawa ya kulevya kwa maelezo zaidi tembelea website yao
nimeishi iringa miaka 3 sijawahi sikia ata dalili ya shoga khaaaaa hili povu.......
 
Una maana gani.
Mbona watz mna roho mbaya hivi duh
Me nimeshatumika huko more than two years, we endelea kukariri kuwa watz wana roho mbaya. Ikiwa me nna roho mbaya dhidi ya shirika hlo, ntapata nini? Nimetoa maoni yangu kwa vile nnavyolifamu hlo shirika.
 
Wacha na wenginee wakatumike kila mtu na bahati yake hapa duniani. Kama wewe palikushindwa ama unapadharau bas sio lazima useme baki nayo moyoni kwako.
 
Kuna mtu nimemzuia kwenda huko? Mleta mada aliulizia nini? Umekunywa viroba nini?
 
Nimefanya nao kazi na ndo wao wamenifinza kuandika business plan na proposal pale ud kwa ushirikiano na read international

Ni taasisi nzur sana nenda kafanye. Kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom