Naomba msaada kwa tatizo langu hili la ngozi

Fetty jr

Member
Dec 17, 2018
21
1
Jamani habari zenu naombeni msaada kuhusu tatizo la ngozi (anajikuna Sana yanakua Kama mapunye then Kama Malibu meusi ya Moto) ambalo limedumu kwa zaidi ya miezi nane hospital mtu huyu kapima HIV zaidi ya Mara tano na inasoma negative akaambiwa Ni cells tu zinaleta reaction akapewa dermovate cream atumie na sindano ikawa inachomwa kwenye hivi vidude tatizo linapoa kwa weeks then inaendelea Tena anachomwa diprofos injection inapoa na inatokea juu kidogo ya sehemu ilioathirika mwanzo naombeni msaada kuhusu Ni tiba gani yafaa kutokomeza hii shida maana mpaka anapatwa stress , crying because of it but hauambukizi.

IMG_20210107_190312_6.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom