Naomba msaada kwa tatizo hili

zed B

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
956
1,029
Amani iwe juu yenu. Wakuu Hali yangu si nzuri nataka kujua hizi dalili za ugonjwa gani ?

1) kichwa kuuma maeneo ya utosi

2) kupoteza hamu ya kula

3) kupata kichefuchefu Cha kutaka kutapika

4) maumivu ya viungo vya mwili hasa kiunoni kuja mabegani

5) choo kigumu Kama Cha mbuzi pingili pingili tu zinadondokeana

6) Maumivu ya tumbo

7) Mwili kuchemka.
 
Vipi hamu ya Kwichi Kwichi?

Maana mwanamme tumbo likijaa gesi na kinyesi kama cha mbuzi kwa babu na kwenyewe kunapoa.

Nenda kamwone daktari.
 
Nenda kapime Damu full blood Picture na upime Mkojo utajuwa unaumwa na maradhi gani mwilini mwako. Pasipo na kupima Damu na mkojo hutoweza kujuwa unayo maradhi gani? Kapime kishauje utupe majibu yako hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom