Naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu safari ya kwenda Zimbabwe, nataka kwenda kwa basi la takwa

Chakula sana ni ugali wanauita SADZA na nyama na spinach nao huuzwa dola Tartu hadi tano kutegemea na eneo.Chips pia zipo katika fast foods outlets kama CHICKEN INN,FISH INN,NANDOS,CHICKEN LICKEN name chips na kipande cha kuku ni dola 5 mpaka 10,jipange,Zimbabwe maisha ni magumu sana.
 
Kwamaaana ukiwa unaenda eneo kula unalipa interms of dollar or rands?
 
Nimewai toka Dar to Johanesburg via Harare kama mara nne hivi .Lipo bus la Tawaqual la Dar Harare pale Ubungo,Au upande mabus ya Lusaka pale Nakonde Tunduma Zambia Tanzania bouder.
hakikisha una validy passport na Yellow fever card. Nauli kwa sasa naona inafika laki 3 hv mpaka ufike Harare.Tunduma to Lusaka ni mwendo wa usiku mzima, Bus linatoka Tunduma jioni na mnaingia Lusaka alfajiri,pale Lusaka Mabus ya kwenda Harare yanaanza safari mchana na mida ya saa kumi hv mnakuwa mmeingia Chirundu Mpakani mwa Zambia na Zimbabwe,mabus yanaingia Harare mida ya saa sita usiku na kuendelea.Unatakiwa uwe na Hela ya Zambia Kwacha kiasi kama elfu 50 (yaani ubadilishe hela ya TZ kiasi hicho)au zaidi kwani utahitaji kwa ajili ya chakula cha usiku na pia chai asbh ukiwa umefika Lusaka,Zim dola pia uwe nazo za kutosha.naomba niishie hapo il kama una swali la ziada ni PM nitakusaidia....nimejaribu kukuelezea kutokana na uzoefu wangu wa miaka hiyo.Kwa sasa nikiwa nnaenda huko ni mwendo wa Bombadie
Mwanangu umeenda longi kumbe. Siku izi ndinga za abiria hazitembei usiku Zambia. Ni kuondoka asbh
 
Chenji badili bongo uwe na dola zako mkononi na weka akiba hela ya kibongo ya kula njiani coz utasimama sehemu mbili tu Nazo ni Aljazeera pale Iringa,na Makambako.hapa pengine no stwndi Ndogo Ndogo za mikoa napo ni kuingia kutimiza wajibu tu name kuendelea na safari.Utalala Tunduma mpaka saa kumi na moja alfajiri,na safari itaendelea mpaka Karibu name Lusaka ambapo utakula na Utaingia Lusaka majira ya SAA mbili hadi SAA Tatu usiku.Lusaka utalala hadi alfajiri ya siku ya tatu utaenlekea Garage ambapo utafika Chirundu boda majira ya SAA NNE asubuhi.mtakaguliwa na kuruhusiwa kuendelea na safari ambapo Harare mtaingia siku hiyo hyo SAA kumi au kumi na moja jioni.kuhusu gesti sijui sababu Nina jamaa zangu Harare so sijawahi kulala gesti
Kwa maelezo kuhusu safari yako ni haya hapa mkuu kuna wengine wamehadithiwa na wao wanakuja kuelekeza hapa
Kwa kuongezea
Kata ticket kabisa ubungo ikibidi siku moja kabla ya safari ambayo haizidi 135000 kikadi cha njano
Alafu bakiwa na kama elfu 50 ya kibongo nyingine zote badili kuwa dola, american or zimbambean dolar pia wanatumia rand ya south afrika unaweza kuangalia una uwelewa mzuri na currency ipi hapo

Ukifika tunduma pesa utakayokuwa umebakiza katika ile elfu 50 ibadili kuwa kwacha
 
Sawaa kaka shukran sanaa kwa mchango wako
 
Naenda kufanya biashara na kuangalia fursa za kibiashara zaidi mwamba
Fursa zipo ila pesa imepotuea thamani sana nilitaka nimtonye aende Na biashara Gani angepata faida hasa Ila sababu ya matatizo ya pesa kudondoka thamani benki hazina hata pesa za kuwapa watu wanawapa makaratasi wenyewe sijui wanaita mibondi kitiu gani imepitwa Na wakati ingekuwa wana hela kama kipindi cha Mugabe ningemwambia.Tatizo sasa hivi Zimbabwe huwezii kuuza Na kupata dolla ,euro au Rand Na urudi nazo nchini ile makaratasi yao Inafaa ndani ya Zimbabwe tu ukiuza ukalipwa ukienda nayo bureau kubadilisha kule hela hawara Na benki hawana ihela!!!! Hakukikisha kwanza mabenki yaNa hela Na yanatoa hela taslimu kwenye akaunti zao?Kuna cash shortage Zimbabwe
 
Kuna ndugu yangu mmoja katoka huko mwezi uliopita ngoja nimuulizie akiwa willing ntakutumia namba zake muongee kiundani
Tafadhali share experiences ya karibuni kuhusu cash shortage kule watu wanapanga mifoleni mabenki kuchukua hela benki hazina hela maduka ya fedha za kigeni hela hayana hebu aeleze hali ilivyo mtu biashara yake isimpromokeee kule ya mtanzania mwenzetu.
 
Fursa zipo ila pesa imepotuea thamani sana nilitaka nimtonye aende Na biashara Gani angepata faida hasa Ila sababu ya matatizo ya pesa kudondoka thamani benki hazina hata pesa za kuwapa watu wanawapa makaratasi wenyewe sijui wanaita mibondi kitiu gani imepitwa Na wakati ingekuwa wana hela kama kipindi cha Mugabe ningemwambia.Tatizo sasa hivi Zimbabwe huwezii kuuza Na kupata dolla ,euro au Rand Na urudi nazo nchini ile makaratasi yao Inafaa ndani ya Zimbabwe tu ukiuza ukalipwa ukienda nayo bureau kubadilisha kule hela hawara Na benki hawana ihela!!!! Hakukikisha kwanza mabenki yaNa hela Na yanatoa hela taslimu kwenye akaunti zao?Kuna cash shortage Zimbabwe
Kwhy kwaufupi hakuna fursa za biashara kupeleka kule?na je ukiuza na kwenda kuchange bureua ndio huwezi kupara hata pesa ya kigeni kama rands or dollar?
 
Kwhy kwaufupi hakuna fursa za biashara kupeleka kule?na je ukiuza na kwenda kuchange bureua ndio huwezi kupara hata pesa ya kigeni kama rands or dollar?
Zilikuwepo nyingi tu hadi za mafuta ya kupikia ya alizeti.Watanzania kibao walipatia pesa Zimbabwe.Mugabe kaondoka Na hela bureau de change Na mabenki pesa shida kupata dollar,Euro Na Rand ni shida sana tena sana .Hebu waulize watu wa Bus la Taqwa wana uzoefu wa cross border hali ikoje hasa ya upatikanaji wa hizo pesa.Kabla haikuwa shida unauza mzigo unalipwa kwa dollar,Euro au Rand ukiisha mzigo Unaendelea Na safari zako sasa hivi kugumu cash shortage inasumbua.Uliza kwanza tafadhali
 
Zilikuwepo nyingi tu hadi za mafuta ya kupikia ya alizeti.Watanzania kibao walipatia pesa Zimbabwe.Mugabe kaondoka Na hela bureau de change Na mabenki pesa shida kupata dollar,Euro Na Rand ni shida sana tena sana .Hebu walizwe watu wa Bus la Taqwa wana uzoefu wa cross border hali ikoje hasa ya upatikanaji wa hizo pesa.Kabla haikuwa shida unauza mzigo unalipwa kwa dollar,Euro au Rand ukiisha mzigo Unaendelea Na safari zako sasa hivi kugumu cash shortage inamsumbua.Uliza kwanza tafadhali
Sawa mwamba nitaendelea kuulizia kabla sijafanya maamuzi ya kwenda huko
 
Zim wanatumia zaidi sana US dollar,Rands na hivi sasa wanna hela yao inaitwa mabondo au BOND
Kuna upungufu mkubwa wa cash za EURO,DOLLAR na RAND ZIMBABWE MITAANI Hebu tusaidie mfanyabiashara wa Tanzania akiuza mzigo zimbabwe akalipwa kwa hayo MABONDO akienda bank au bueau de change za Zimbabwe aweza pata pesa za kigeni bila shida? Kwa sababu Tanania ukija nayo huwezi badilisha
 
Back
Top Bottom