bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,053
- 2,328
Habari nzenu ndugu .
Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku bila shaka naleta hili jf ili mnisaidie naamini hapa jf hakishindikani kitu.
Mwaka juzi kuna rafiki yangu tu tuliingia nae mkataba wa masuala ya kusuply mzigo ( siri ila wa halali) wenye gharama 1.5 mil. Yule jamaa tulifanya nae kazi kwa uaminifu kwa muda wa kama miaka miwili hivi sasa sijui ilikuwa aje siku ya kumpa hela huyu jamaa ndo ikawa ndo ntolee mazima kwakweli aliniacha katika wakati mgumu sanaa ikizimgatia kuwa mzigo huu ulikuwa wa kampuni ninayoifanyia kazi .
Basi baada ya kumtafuta kwa muda mrefu takribani mwaka mzima na nikietembea na RB zijampata yani anatoka eneo moja kwenda eneo jingine yani hatulii kwakweli nikaamua kukopa kwenye taasisi flani nikalipa deni kwani ofisi imishaanza kunitilia shaka kwakweli taasisi ile ina riba kubwa ila ikanibidi deni ambalo nalilipa hadi sasa .
Kesi nilishafungua
RB ninayo .
Mikataba yote ninayo .
Huyu jamaa mara moja moja simu yake ukipiga inaita ila hapokei na hata akipokea anajifanya kama umekosea namba yanii mchezo ndio huo .
Kwa helufi kubwa .NAOMBA MNISASIDIE HUYU JAMA NIWEZE KUMPATA KANITESA SANAA NAOMBA KUWAKILISHA.