Naomba msaada kwa huyu dada yangu maana sasa anakoelekea atatutia aibu

Yaan mkuu kitendo cha kumuonyesha mzee tu hizi video ni anafukuzwa mazima ila namuonea huruma, ndugu ndo sisi tuliobaki sasa ataenda wapi?? Alishasemwa sana na mpaka analudi tena kwa mala ya pili alikili kubadilika lakin analudia hayo hayo tena sasa hivi analala nje kabisa ya nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kama hutaki kufanya hivyo endelea kufuga maradhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yako "mtoto wa mama Mdogo" alafu mbele ya story Dada huyo huyo anafiwa na mama yake ambaye ni "aunt" yako.


Hebu kawadanganye watoto wenzio Facebook huko.
 
Eric K hahaha haya mdogo wangu.bibi hajambo lakini?? Me napita tu aisee kuna chai umeziweka hapo nimekukaushia tu.hivi ni W au S anayesumbua ?? Polee sana mdogo wangu.wewe ndio kidume hapo home fanya maamuzi magumu. Mpe hi bibi K. jirani yako wa zamani kwa mama mlokole

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaha yupi huyo wewe nikumbushe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yako "mtoto wa mama Mdogo" alafu mbele ya story Dada huyo huyo anafiwa na mama yake ambaye ni "aunt" yako.


Hebu kawadanganye watoto wenzio Facebook huko.
Mkuu ujaelewa huyo ni dada yangu toka kwa mama mdogo sasa Kama unakijua kingereza fasaha cha mama mdogo niambie tu ila mimi najua awe mama mkubwa au mdogo anaitwa Aunt.. afu pia huyu mama yake alifariki ambaye kwangu ni Aunt ( mom mdogo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom