Naomba msaada kwa huyu dada yangu maana sasa anakoelekea atatutia aibu

Eti haha seriously mkuu hii sio utani kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tena mkuu wala sikutanii
Hapo nymbn kwenu hakuna mwanaume mwingine ukimuacha baba yako ndio maana anafanya haya mambo nje na kuwadhalilisha.
Nina uhakika hapo nyumbani kungekua na vijana wengine kama wawili au watatu usingeweza kuona huo upungufu wa dada yako.
Huyo ukiweza kumshughulikia vizuri hapohapo nyumbani huwezi kumuona anaenda nje kuhangaika.

Maendeleo hayana chama
 
Hahaha we jamaa akili zako aisee unazijua mwenyewe... Chukua soda hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eric K hahaha haya mdogo wangu.bibi hajambo lakini?? Me napita tu aisee kuna chai umeziweka hapo nimekukaushia tu.hivi ni W au S anayesumbua ?? Polee sana mdogo wangu.wewe ndio kidume hapo home fanya maamuzi magumu. Mpe hi bibi K. jirani yako wa zamani kwa mama mlokole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom