Naomba Msaada kwa Anayejua kucheza na Software

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Habari zenu wakuu. Nime-install ArchCard-9 software kwenye computer yangu, lakini ipo katika Demo Mode, siwezi ku-save wala ku-print kazi yangu. Kama kuna anaejua jinsi ya kuchakachua naomba msaada. Sina CD.
 
Kwa nini usinunue tu. Kama wewe ni architect by proffesional hiyo software inakusaidia kufanya kazi zako na kukuingizia. Lakini bado unataka kufanya ufisadi. Kweli kila mbongo ni fisadi
 
Kwa nini usinunue tu. Kama wewe ni architect by proffesional hiyo software inakusaidia kufanya kazi zako na kukuingizia. Lakini bado unataka kufanya ufisadi. Kweli kila mbongo ni fisadi
Mimi sio Professional Achtecturer. Nimejifunza kutumia software nyinyingi out of class. Apart from computer knowledge huwa najifunza mambo mengi out of class, Civil Engineering ikiwa ni mojawapo. Kwa hiyo if you feel o.k. just let me know, you won't loose anything.
 
nilfikiri upo dar nikuagize uchukue kama sehemu unayokaa ina internet ya voda 3g na una modem utawesa ukaingia kwenye torrents, au www.kat.ph.com ukaisearch udownload.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom