Naomba msaada kwa anayejua hospitali nzuri za magonjwa ya ngozi hapa Dar

Dawa ilikuwa Rahisi tu. Alinieleza ni tatizo gani analo nikamuelekeza dawa ya kutumia.. Ndogo dogo tu inauzwa 8000- 15000 pharmacy...keshapona huyu ndugu kizito
 
DAWA GANI MKUU Muracha ..ILA NGOJA NIENDE NA HUYO PROF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom