Naomba msaada kwa anaejua hili tatizo kwa mwanamke

Vera

Member
Apr 12, 2012
12
1
nasumbuliwa sana na 2mbo la hedhi lkn kwa mwezi huu limeptliza af naskia maumvu ya 2mbo km niko kwenye siku zenyewe lkn hakuna hata ki2.Tatizo litakuwa n nin?au nfanyeje hta niwe ktk hali nzuri haya maumivu yananipa shida
 
Pole Vera, maumivu makali kabla na wakati wa hedhi ni hali ya kawaida, wengine uambatana na maumivu makali ya kichwa. Hii hali itapungua kwa kiasi kikubwa zaidi ya asilimia 95 pindi utakapopata ujauzito na kujifungua.
Ila kwa muda huu kuna dawa inayosaidia kutuliza haya maumivu inaitwa "No Spasm" inapatikana katika mapharmace. Jaribu kuitumia.
 
Kunywa maji ya uvuguvugu kila unapokula chakula kuanzia siku ya kwanza unapoanza kusikia maumivu.
 
Pole sana my Dear, kunywa maji ya moto asubuhi na usiku before sleeping even after sex that day and then kandakanda tumbo la chini, yaani chini ya kitovu kwa taulo or kitambaa ulichokiloweka kwenye maji ya moto or unaweza kujikanda kwa kutumia nafikiri inaitwa hot water bottle, iko phamarcy, wajawazito wanatumia kujikanda mgongo kwa kuiegemea, ni ya plastic laini, kama design fulani ya rubber, make sure ukishaijaza maji ya moto uifunge vizuri
 
Pole sana. Unaweza kutumia Mifenamic acid ambayo ni prostaglandin blocker, inasaidia sana
 
Pole sana! Unaweza kuwa na tatizo
ukiona una a very prolonged and heavy menstrual periods accompanied with severe low back pain and you are in the 3rd decade we normally think of
1.FIBROID
2.ENDOMETRIOSIS.it can also be primary/secondary dysmenorrhea.
these are clinical entities that usually presents with the mentioned disturbances. Giving birth helps bt does not cure the primary problem and this is so particularly to those with endometriosis/endometritis due to absent of trigers/hormones during pregnancy n' soon after delivery so dont rush to have kids for the aim of ameliorating the condition as you will get a temporal relief rather than a permanent cure.seek expert opinion and see how you can deal with it.
 
Back
Top Bottom