Naomba msaada kuunganisha TP Link router na Vodacom 4G Modem

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom. Nikiunganisha modem moja kwa moja kwenye laptop napata internet, ila nikiunganisha na router hakuna internet.

Natanguliza shukrani.
 
mbona simple tu we connect modem yako yuma hapo kwenye usb port ya router then iconnect router yako kwa RJ45 cable to pc erthenet port au waweza kutumia wifi kukonect router na pc yako

then open browser yako ingiza ip adress ambayo ipo nyuma / chini ya router yako ambazo zimeanza na 192.168.1.1/0 kwenye adress bar yako then configure wifi name and password mengine utayaona kwenye maelezo then tumia kwa shangwe
 
Nimefanya hivyo lakini hakuna kinachotokea. Taa ya usb kwenye router haiwaki kuonyesha kuwa modem haijatambuliwa!
 
Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom. Nikiunganisha modem moja kwa moja kwenye laptop napata internet, ila nikiunganisha na router hakuna internet.

Natanguliza shukrani.

Modem hiyo ya Vodacom kama ni ya Hi-Link haitafanya sababu hai support Dial Up na haiwezi kuwa detected na router sababu imekua made kuwa connected kwa WEB UI!
Na Best Modems za kutumia na router ni zile za Huawei kama ni ZTE pia unaweza pata challenges kwa baadhi ya modem.
Kama ni huawei na ni Hi-Link unaweza iswitch back ikawa inafanya dial up!

Hivo tuache kutoa assumptions zisizo na maana elezea modem yako ina fall category ipi kwa maelezo ya hapo juu!
 
Back
Top Bottom