Nimefanya hivyo lakini hakuna kinachotokea. Taa ya usb kwenye router haiwaki kuonyesha kuwa modem haijatambuliwa!mbona simple tu we connect modem yako yuma hapo kwenye usb port ya router then iconnect router yako kwa RJ45 cable to pc erthenet port au waweza kutumia wifi kukonect router na pc yako
then open browser yako ingiza ip adress ambayo ipo nyuma / chini ya router yako ambazo zimeanza na 192.168.1.1/0 kwenye adress bar yako then configure wifi name and password mengine utayaona kwenye maelezo then tumia kwa shangwe
Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom. Nikiunganisha modem moja kwa moja kwenye laptop napata internet, ila nikiunganisha na router hakuna internet.
Natanguliza shukrani.