Naomba Msaada Kutoka kwa Wanachuo wa Chuo Cha Ufugaji Nyuki Tabora!

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Wasalaam,
Kama kuna Mwanachuo wa Chuo Tajwa Hapo Juu,au Una Nduguyo au Rafikiyo Asoma Hapo Naomba Mnisaidie Shida Moja au Mbili!
Masomo Yanayo Fundishwa Hapo Yakoje na Pia Mazingira ya Chuo Yakoje?Nimepuluzi Tovati ya Chuo ila Sijashiba!
 
ulifeli form 4?? au ulikuwa bado unazingusha mikono?
nilifaulu form six,watu wa nyuki wanaitajika sana,sasa uku mtaani wako wachache,na serikali ina uhaba!nataka nikasome hapo,ndio lengo la post hii!unaweza nisaidia?
 
Back
Top Bottom