Wadau kwa sasa kuna dawa ambayo inapigiwa upatu kwamba inasaidia kuongeza kinga ya mwili dhidi ya corona. Ni mchanganyiko wa vyakula vya asili. Inaitwa NIMRCAF.
Kama kuna yeyote anaifahamu utuambie inapatikana wapi.
===
ZAIDI KUHUSU DAWA HII SOMA HAPA
= > NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona - JamiiForums
Kama kuna yeyote anaifahamu utuambie inapatikana wapi.
===
ZAIDI KUHUSU DAWA HII SOMA HAPA
= > NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona - JamiiForums