Naomba msaada kujua dawa ya NIMR inapatikana wapi?

Kaulize Pharmacy iliyo karibu nawe. Hata kama hawana wa uwezo wa kuipata.
 
Mabibo external, unalipia bank unaenda na receipt

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom