Naomba msaada kuhusu taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international)

Ngorunde

Platinum Member
Nov 17, 2006
4,109
8,339
Wanajamvi Amani kwenu.

Tafadhali kwa yeyote mwenye kuijua taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international) anipe mwanga jinsi inavyofanya kazi.

Ninatanguliza shukurani.
 
Jf mtandao mkubwa...hakuna anayefahamu hii taasisi!?
 
Back
Top Bottom