Naomba msaada kuhusu power of attorney na company resolution

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
Ndugu wana jf,katika harakati za kufungua account ya kampuni,benki wameniambia nipeleke company resolution naomba msaada kwamba hii inaandaliwaje,pia katika kutafuta tender huwa wanasema power of attorney iambatanishwe hii nayo ni nini,nimejaribu kugoogle lakini maelezo niliyoyapata sijayaelewa vizuri,natanguliza shukrani zangu za dhati
 
pia katika kutafuta tender huwa wanasema power of attorney iambatanishwe hii nayo ni nini,nimejaribu kugoogle lakini maelezo niliyoyapata sijayaelewa vizuri,natanguliza shukrani zangu za dhati

Power of attorney is the right to act and make decisions for another person in business and legal matters
 
Power of attorney ni document fupi inayoonyesha nani mwenye mamlaka ya kuamua/kutenda kwa niaba ya kampuni. Document hii lazima imtaje mtu huyo ambaye atasimama kwa niaba ya kampuni kisheria na lazima isainiwe na public notary( mwanasheria anayetambulika/aliyesajiliwa kama wakili/hakimu). akupa hii sample ukijaza sehemu zilizo wazi na kuisain kwa mwanasheria tayari hiyo ndiyo "AUTHORIZED WRITTEN POWER OF ATTORNEY".

Kumbuka kuwa hizo blanks hubadilika kulingana na tender unayoomba. Kwa maelezo zaidi tumia hii thread mimi ndo kazi yangu kuandaa tenda za kazi tunazoomba kijiweni kwetu



===============================
SPECIAL POWER OF ATTORNEY

THIS SPECIAL POWER is created this [insert date of tender submission]

[Insert company legal name](hereinafter referred as “THE PRINCIPAL”).

WHEREAS, the Principal have submitted bid documents to
[Insert address of purchaser, name of tender and tender number]
AND WHEREAS the Principal are desirous of appointing and constituting [insert name of company representative who will act as attorney] the [insert title his/her title in the company] as a true Attorney.


NOW THIS DEED WITNESSETH AS HEREUNDER:-

That we, [company legal name] HEREBY appoints [name and title of the attorney] (hereinafter referred to “THE ATTORNEY”) to be the true and lawful Attorney and Agent, with full power and authority to be signatory of all documents in relationship to the said; [insert name of tender and tender number]



That, this deed authorizes the attorney named herein to use all lawful ways and means thereto, as fully and effective to all intents and purposes as if the principal might or could do.









IN WITNESS WHEREOF the principal hereto execute these in the manner and date appearing herein.




SINGNED and DELIVERED by the said
[insert name of the attorney] who is known to
Me personally in my presence [SIGNATURE] ___________________
THE ATTORNEY
­­­­­This ______day of ___________________, [year]


BEFORE ME:
[SIGNATURE OF LAWYER]


--------------------------


COMMISSIONER FOR OATHS

Name : ___________________________________
Signature : ___________________________________
Postal Address : ___________________________________
: __________________________________
Qualification : ___________________________________

 
Document hii lazima imtaje mtu huyo ambaye atasimama kwa niaba ya kampuni kisheria na lazima isainiwe na public notary( mwanasheria anayetambulika/aliyesajiliwa kama wakili/hakimu).

Kwa Tanzania notary public lazima awe lawyer au hakimu?
 
mkuu maelezo ya hapa na unachokitaka hutofanikiwa. Unahtaj mwanasheria akusaidie hvo tafta ofisi zao.
 
Asanteni sana kwa kunipa mwanga,japo kwenye company board resolution sijaeleweshwa
 
Back
Top Bottom