Naomba msaada kuhusu matumizi haya ya lugha!

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Hiki tunachoita mabomu ya machozi, wenzetu waswahili pia wakutoka Kenya wanaita vitolea machozi.

Binafsi najiuliza ni kwa nini tunapenda kutumia neno bomu au mabomu?

Ni makusudi au ukanjanja wa lugha?
 
Wakenya hawajui Kiswahili. Vitolea machozi should be organs biologically. Yaani tear glands. Sisi tunayaita mabomu sababu yanalipuliwa kabla ya kusambaza huo moshi au gesi inayopelekea kutoka machozi
 
Wakenya hawajui Kiswahili. Vitolea machozi should be organs biologically. Yaani tear glands. Sisi tunayaita mabomu sababu yanalipuliwa kabla ya kusambaza huo moshi au gesi inayopelekea kutoka machozi

Ni kweli. Yanaitwa mabomu ya machozi kwa sababu yanasababisha mtu kutoa machozi/kulia.
 
Back
Top Bottom