Naomba msaada kuhusu masuala ya mkataba wa kupanga

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,419
3,388
Jamani mimi mwenzenu ndio naenda kuanza maisha leo. Kuna sehemu naenda kulipa kodi ya miezi mitatu ila hiyo sehemu nilishaichukua miezi mitatu iliyo pita sema sikuhamia

Sasa mfano kodi nililipa tarehe7 mwezi 2 ni ya miezi 3 ilikuwa iishe lini.

Akhsanteni
 
Sikupenda kuumiza kichwa na hesabu, we niulize habari za mamovie
 
Jamani mimi mwenzenu ndio naenda kuanza maisha leo. Kuna sehemu naenda kulipa kodi ya miezi mitatu ila hiyo sehemu nilishaichukua miezi mitatu iliyo pita sema sikuhamia

Sasa mfano kodi nililipa tarehe7 mwezi 2 ni ya miezi 3 ilikuwa iishe lini.

Akhsanteni
6May
 
Back
Top Bottom